SEKTA YA MIFUGO
Sekta ya Mifugo imekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa Taifa kupitia uzalishaji wa mifugo na mazao ya nyama, maziwa, ngozi, mayai pia huchangia katika maeneo yafuatayo: - (i) Kuzalisha chakula, hivyo kuchangia katika uhakika wa chakula; (ii) Kubadilisha malisho na masalio ya mazao kuwa chakula; (iii) Mifugo ni benki hai kwa wafugaji; (iv) Chanzo cha mapato na ajira kwa wananchi vijijini (v) Kutoa mbolea na wanyama kazi kwa ajili ya kilimo endelevu; (vi) Kuchangia katika majukumu ya kijadi kwenye jamii.
Bomani Street
Postal Address: P. O box 320 Kyela
Telephone: 025-2540035/7
Mobile: 0767563310
Email: ded@kyeladc.go.tz
Copyright ©2017 Kyela District Council . All rights reserved.