• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TEHAMA

TEHAMA

 Uhusiano

Hata kazi zake zimegawanyika katika sehemu hizo mbili kama ifuatavyo:-

  • Eneo la Tehama
  • Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;
  • Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA
  • Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;
  • Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;
  • Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;
  • Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;
  • Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Network) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;
  • Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;
  • Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga;
  • Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;
  • Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;
  • Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo;
  • Kutoa ‘specification’ za vifaa kwa ajili ya manunuzi;
  • Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutimika; na
  • Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote.
  • Eneo la Uhusiano
  • Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;
  • Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;
  • Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;
  • Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na ‘District Profile’
  • Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;
  • Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;
  • Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;
  • Kusimamia ‘press briefing’ za Halmashauri;
  • Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na
  • Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. DKT. JUMA ZUBERI HOMERA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA WASICHANA KYELA COCOA GIRLS SECONDARY SCHOOL

    June 09, 2025
  • KYELA COCOA GIRLS SECONDARY SCHOOL YALETA TUMAINI JIPYA KWA WATOTO WA KIKE KATA YA NKOKWA

    June 03, 2025
  • MAMLAKA YA MJI MDOGO YAKUSANYA MILIONI 400 KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU

    June 02, 2025
  • WAH. MADIWANI WAIACHA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA MAHALI SALAMA WAKUSANYA BILLION 8.1 MPAKA ROBO YA TATU

    May 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa