• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kitengo cha Sheria

Utangulizi

Kitengo cha Sheria kinatekeleza majukumu yake ambayo yameainishwa kwenye Muundo wa Utumishi wa Umma kama unavyorekebishwa mara kwa mara, pamoja na mpango kazi wa kila mwaka.

Pia kitengo cha sheria kinatekeleza maagizo mbalimbali yanatolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na Serikali kwa ujumla.

Watumishi katika kitengo cha sheria

Kwa  sasa katika Kitengo cha Sheria kuna afisa Sheria Mmoja ambaye anatekeleza majukumu yote katika kitengo cha sheria.

Majukumu. 

  • Mshauri mkuu wa Mkurugenzi Mtendaji kuhusina na maswala yote ya kisheria.
  • Kufanya utafiti na ushauri wa kisheria kwa idara mbalimbali za Halmashauri pale inapohitajika.
  • Kuratibu uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi Mahakamani au katika Mabaraza yanayohusu Halmashauri.
  • Kuhakikisha kwamba mikataba inayoingiwa na Halmashauri inakuwa na maslahi mazuri kwa Halmashauri.
  • Kuhakikisha kwamba Halmashauri inazingatia Utawala wa Sheria na inafanya uamuzi unaozingatia sheria katika vikao vya uamuzi.
  • Kuhakikisha utekelezaji wa maazimio ya vikao mbalimbali vya Halmashauri.
  • Kuandaa makisio ya mwaka, mpango wa manunuzi na mpango kazi wa Kitengo cha Sheria.
  • Kufanya utafiti wa masuala mbalimbali ya sheria pale atakapohitajika kufanya hivyo.
  • kushughulikia maswala ya uendeshaji wa mashauri Mahakamani na mikataba yote inayohitaji ushauri wa kisheria.
  • Kuandaa,kutunza na kuhuisha register ya mikataba yote inayoletwa kwa ajili ya kufanyiwa veting.
  • kuandaa,kutunza na kuhuisha register ya kesi za Halmashauri zilizoko Mahakamani.
  • kufungua mashauri Mahakamani na kutetea ambayo yamefunguliwa dhidi ya Halmashauri.
  • Kuandaa taarifa ya mwenendo wa mashauri kila mwezi kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye kikao cha Menejimenti na Kamati ya Fedha.
  • kushughulikia masuala ya Sheria Ndogo za Halmashauri.
  • Kuandaa Sheria Ndogo mpya na marekebisho na kuziwasilisha katika ngazi husika kwa ajili ya kuidhinishwa.
  • kushughulikia masuala ya Sheria Ndogo za Vijiji,kuratibu utungaji waSheria Ndogo za Vijiji na kuhakikisha kila kijiji kinazingatia Utawala wa Sheria.
  • Kuandaa,kutunza na kuhuisha register ya sheria ndogo za Halmashauri na sheria ndogo za Vijiji.
  • Kusimamia Mabaraza ya Kata kwa kutoa miongozo ya namna ya kuzingatia sheria pamoja na kufatilia mawasilisho ya shilingi 3000 kila mwezi.

Mabaraza ya kata ya Halmashauri ya Wilaya ya kyela 

Kitengo cha Sheria kinatekeleza majukumu yake ambayo yameainishwa kwenye Muundo wa Utumishi yakiwa ni pamoja na Kusimamia Mabaraza ya Kata kwa kutoa miongozo ya namna ya kuzingatia sheria pamoja na kufatilia mawasilisho ya shilingi 3000 kila mwezi.

Idadi ya Mabaraza ya Kata.

1
Baraza la kata la Kyela Mjini
 
2
Baraza la Kata la Itope
 
3
Baraza la kata la Ikama
 
4
Baraza la kata la Katumba songwe
 
5
Baraza la kata la Ngana
 
6
Baraza la kata la Ikolo
 
7
Baraza la kata la Ipinda
 
8
Baraza la kata la Bujonde
Baraza la kata la Matema
 
10
Baraza la kata la makwale
 
11
Baraza la kata la Kajunjumele
 
12
Baraza la kata la Talatala
 
13
Baraza la kata la Mababu
 
14
Baraza la kata la Ipande
 
15
Baraza la kata la Ngonga
 
16
Baraza la Kata la Muungano
 
17
Baraza la kata la Busale
 
18
Baraza la Kata la Mwaya
 
19
Baraza la kata la Ikimba
 
20
Baraza la kata la Nkokwa
 

 


Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa