• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ardhi na Maliasili


  • ARDHI

UPIMAJI NA RAMANI

  • Kupima viwanja kwa ajili ya matumizi mbalimbali
  • Kupima mashamba
  • Kuchora ramani za upimaji

 

USIMAMIZI WA ARDHI

  • Umilikishaji wa viwanja kwa ajili ya matumizi mbalimbali
  • Kutatua migogoro ya ardhi
  • Kuhuisha milki  (Renew)  ambazo zimeisha mda wake
  • Kusimamia makusanyo ya kodi na tozo mbalimbali za Ardhi
  • Kutoa ilani mbalimbali kwa wamiliki wa ardhi walioshindwa kutimiza masharti ya umiliki
  • Kushuhulikia masuala yote ya uhamisho wa milki
  • Kutoa elimu   kuhusiana  na sekta ya ardhi

UTHAMINI

  • Kufanya uthamini kwa ajili ya ulipwaji wa fidia mbalimbali
  • Kufanya uthamini kwa ajili ya uhamisho wa mali
  • Kufanya uthamini kwa ajili ya mikopo mbalimbali

MIPANGO MIJI

  • Kubuni na kuandaa mipango  mipya ya kina katika maeneo yote ya miji
  • Kufanya urasimishaji  maeneo yaliyoendelezwa
  • Kuandaa mipango ya matumizi bora ya Ardhi katika vijiji
  • Kusimamia uendelezaji wa mji kwa kufuata sheria ya Mipango miji
  • Kukagua  vibali vya ujenzi na kudhibiti ujenzi  holela katika mji yetu
  • Kukagua ramani kwa ajili ya maombi ya vibali vya ujenzi

KITENGO CHA MALIASILI:

  • SEKTA YA MISITU:
  • 1. Kusimamia sera nasheriazaMisituWilayani.
  • 2. KusimamianakulindamisituyaHalmashauri.
  • 3. KutoaElimukwajamiijuuyaumuhimuwautunzajiwamisitu.
  • 4. Kuanzishavitaluvyamiti.
  • 5. Kutafutambegu, kuoteshanakupanda.
  • 6. kugawamicheyamitikwajamii, TaasisibinafsinazaSerikali.
  • 7. Kutoaushaurijuuyauvunajinamatumiziendelevuyamisitu.
  • MAZINGIRA:
  • Kusimamia sera nasheriazaUhifadhiwaMazingira.
  • KulindaMazingirayasiharibiwe.
  • KutoaElimukwajamiijuuyafaidayautunzajiwaMazingira.
  • KutoaushaurikwajamiijuuyamatumiziendelevuyaMazingira.
  • WANYAMA PORI:
  • Kulinda sera, SherianamiongozoyauhifadhiwaWanyamapori.
  • Kudhibitiwanyamawakalinawaharibifuwamalinamaishayawananchi.
  • KutoaElimukwajamiinamnayakujilindabinafsinakuokoamazaodhidiyawanyamapori
  • Kuwindawanyamaporiwanaouawatunawanaoharibumazaoyawatu
  • Kutoamiongozokwajamiiyaumuhimuwakutunzanakuhifadhimaeneoyawanyamapori.
  • Kutoaelimukwajamiijuuyathamanizawanyamapori.
  • SEKTA YA NYUKI:
  • Kulinda sera nasheriazaufugajinyukiWilayani.
  • Kudhibitimakundiyanyukiyanayovamiamakaziyawatu.
  • Kuhamasishajamiijuuyaumuhimuwaufugajinyuki.
  • Kusajiliwatubinafsinavikundivyaufugajinyuki.
  • KuchongamizingakwamujibuwabajetiyaHalmashaurinakugawakwawatunavikundi
  • Kuwatafutiamasokoyandaniwafugajiwadogowadogo.
  • SEKTA YA UTALII:
  • Kulinda sera nasheriazasektayaUtaliiWilayani.
  • KutangazanakuinuasektayautaliiWilayani.
  • Kuhamasishajamiijuuyaumuhimuwautalii.
  • Kutoaelimukwajamiijuuyakulindanakutunzavyanzovyautaliivisivurugwe.
  • KuvitengenezeataratibuvivutiovyautaliiWilayanikwamatumiziendelevukwajamii.
  • Kuihamasishajamiikutengenezamatamashanaziarambalimbalizautalii.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa