• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mipango Takwimu na Ufuatiliaji

KAZI ZINAZOFANYWA NA IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI

  • Kuandaa Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Kupanga Mipango na Bajeti ya Halmashauri kwa kushirikiana na Idara zingine kila Mwaka
  • Kuandaa Mipango kazi ya Halmashauri kila Mwaka (District Annual Action Plans)
  • Kuandaa Mtiririko wa matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo (District Annual Cash Flow).
  • Kuratibu Maagizo mbalimbali ya Viongozi wa Ngazi za juu
  • Ukusanyaji wa takwimu mbalimbali na kuhakikisha  kwamba rejesta za wakazi zinajazwa ipasavyo kila mara .
  • Kusimamia na kufuatilia miradi ya maendeleo ya Halmashauri
  • Kuandaa na kuwasilisha Taarifa ya mahesabu kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
  • Kuandaa na Kuwasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kila robo Mwaka.
  • Kuandaa Mpango na Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala kila baada ya Miezi sita na Mwaka.
  • Kuandaa na kuwasilisha Taarifa za Kiuchumi na Kijamii kila Juma na kuwasilisha Sekretarieti ya Mkoa.
  • Kuandaa maandiko mbalimbali ya miradi (Project Write ups)
  • Kubuni miradi ya uwekezaji (Investment Projects) 
    Kazi zinazofanywa na idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni kama ifuatavyo:-
    • Kuandaa Mpango Mkakati wa Halmashauri (Strategic Plan).
    • Kupanga Mipango na Bajeti ya Halmashauri kwa kushirikiana na Idara zingine kila Mwaka.
    • Kuandaa Mipango kazi ya Halmashauri kila Mwaka (District Annual Action Plans).
    • Kuandaa Mtiririko wa matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo (District Annual Cash Flow).
    • Kuratibu Maagizo mbalimbali ya Viongozi wa Ngazi za juu.
    • Ukusanyaji wa takwimu mbalimbali na kuhakikisha kwamba rejesta za wakazi zinajazwa ipasavyo kila mara.
    • Kusimamia na kufuatilia miradi ya maendeleo ya Halmashauri.
    • Kuandaa na kuwasilisha Taarifa ya mahesabu kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
    • Kuandaa na Kuwasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kila robo Mwaka (CDR).
    • Kuandaa Mpango na Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala kila baada ya Miezi sita na Mwaka.
    • Kuandaa na kuwasilisha Taarifa za Kiuchumi na Kijamii kila Mwezi na kuwasilisha Sekretarieti ya Mkoa.
    • Kuandaa maandiko mbalimbali ya miradi (Project Write Ups).
    • Kubuni, kuendeleza na kusimamia miradi ya uwekezaji (Investment Projects).
    • Kubuni vyanzo vya mapato ya Halmashauri.
    • CHANGAMOTO ZA IDARA KWA UJUMLA
    • Fedha za utekelezaji wa miradi kutofika kwa wakati kutoka Serikali Kuu na Wahisani
    • Uchangiaji Mdogo wa Halmashauri kwenye miradi ya maendeleo
    • Kutokuletwa kwa fedha za ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoka Serikali Kuu


Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa