• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Siasa Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatembelea Miradi Ya Maendeleo Kabla Ya Maazimisho Ya Kuzaliwa Kwa Chama Hicho

Imewekwa Kwenye: February 10th, 2020

Kamati ya chama tawala Chama Cha Mapinduzi(CCM), kikiongozwa na katibu wake wa chama Mhe. Lukas Nyanda, kimefanya ziara kwa siku mbili (2) kabla ya maazimisho ya kuzaliwa kwa chama hicho siku ya tarehe 08/02/2020.

Wanakamati hao walianza ziara yao siku ya tarehe 06-07/2020, ambapo walihitimusha ziara hiyo siku ya jumamosi tarehe 08/02/2020 kwa kufanya mkutatano wa hadhara katika kata ya Ipinda wilayani Kyela. 

Kamati hiyo ya siasa iliweza kutembelea mradi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Uhuru, shule ya msingi Mbugani pamoja na shule ya sekondari Nyasalakeshore, si hiyo tu bali kamati iliweza kutembelea utengenezaji wa meli ya abiria katika bandari ya Kiwira, pamoja na ujenzi wa kituo cha kibiashara cha pamoja yaani One Stop Border Post kituo kinachojengwa mpakani mwa Tanzania na Malawi, kata ya Njisi hapa wilayani Kyela.

ujenzi wa kituo cha biashara cha pamoja One Stop Border Post, kituo ambacho hadi kumalizika kwakwe kitatumia zaidi ya shilingi bilioni 26 fedha za wananchi ambapo kitatumika na nchi mbili yaani nchi ya Malawi na Tanzania. 

Aidha kamati ya siasa iliweza kufanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa vinavyojengwa katika shule ya msingi Uhuru na Mbugani, na kutoa maagizo kwa Mkurugenzi Mtendaji, kukarabati vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Mbugani ili yaweze kufanana na yale ya shule ya msingi Uhuru. 

ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Uhuru. 

Ujenzi wa vyumba vinne 4 vya madarasa katika shule ya msingi Mbugani. 

Kamati ya siasa haikuishia hapo kwani iliweza kutembelea ujenzi wa mabweni ya kisasa na katika shule ya sekondari Kafundo ambapo yatakuwa na uwezo wa kubeba wanagunzi zaidi ya 300.

Mwisho waheshimiwa walitoa pongezi nyingi kwa mwenyekiti wao wa chama taifa Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, kwa kuipendelea wilaya ya Kyela kwa kutekeleza miradi mikubwa na ya gharama, kwa lengo moja tu la kuwatoa wananchi kutoka hali ya kimaskini hadikufikia maisha ya kati. 

Ujenzi wa mabweni mawili ya kisasa katika shule ya sekondari Ndobo, iliyopo katika kata ya Ipinda wilayani Kyela. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WA KIJIJI CHA ISANGA WAPATA FARAJA KWA KUUNGWA MKONO NA MHE. DC MANASE KWA UANZISHWAJI WA UJENZI WA ZAHANATI

    July 12, 2025
  • TSH. MILLIONI TANO (5) KUTOKA MFUKO WA ZAO LA KAKAO KUSAIDIA UANZISHWAJI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA MSINGI KIJIJI CHA MPEGERE KATA YA MAKWALE

    July 10, 2025
  • WATAALAM WA AFYA KUTOKA MALAWI WAFANYA KIKAO NA WATAALAM WA AFYA KUTOKA KYELA KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    July 02, 2025
  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa