Thursday 21st, November 2024
@Ukumbi wa Halmashauri
Aliyoyasema Mkuu wa wilaya wakati wa upitishaji wa rasimu ya bajeti ya 2020-2021 Hapa wilayani Kyela,
Bajeti ipo vizuri nimejiridhisha kwa kuisoma
Kupanga bajeti ni kitu kimoja na utekerezaji ni kitu kingine
Naamini itatekelezwa na itaenda kuwasaidia wananchi
Napongeza bajeti hii kuongezeka katika kusaidia wakina mama, vijana na watoto
Naomba tuzitumie vizuri mvua zetu zilizoanza kunyesha tuzitumie vizuri
Nitoe rahi wote wanaoishi katika maeneo hatarishi waanze kuhama mapema
Naomba tuendelee kushikamana Katika ujenzi wa madarasa na ninatoa pongezi kubwa kwa usimamizi wa ujenzi huu wa madarasa
Mwisho aliwataka wananchi wote wenye watoto ambao wanatakiwa kuwapeleka watoto shuleni wawapeleke nje ya hapo sheria itachukua mkondo wake, na aliwataka Wananchi kudumisha amani na kuheshimu uongozi uliopo.
Halmashauri ya wilaya ya Kyela imepitisha rasimu ya bajeti kupitia kikao cha Baraza la Madiwani, ikiwa Bajeti nzima ya Halmashauri ni shilingi 32,354,017,389.13 na bajeti ya mapato ya ndani ni 3,851,016,677.50.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa