Tuesday 30th, May 2023
@Ofisi ya katibu tawala
Katika kudumisha ushirikiano mwema, Baina ya benki ya NMB na Utawala wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela, Benk ya NMB Kyela imempa zawadi Katibu Tawala wa wilaya ya Kyela ndugu Godfrey Kawacha.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0756944794
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa