Thursday 3rd, April 2025
@Ukumbi wa Halmashauri
Kikao hichi ni cha uwasilishaji wa Taarifa mbalimbali, taarifa hizo zinatolewa na Waheshimiwa Madiwani.
Zipo taarifa za ukusanyaji wa mapato kutoka kila Kata, shughuli za Maendeleo Kama ujenzi wa zahanati na ujenzi wa madarasa.
Taarifa hizi zitatolewa siku ya tarehe 04/05/2018, katika Baraza la robo ya tatu Wananchi wote mnakaribishwa kuja kusikiliza.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa