Wednesday 2nd, April 2025
@Kanisa la Morovean Kyela Kati
Huu ni mwendelezo wa utoaji wa elimu wa ukatili wa kijinsia unaondelea kutolewa kwa makundi mbalimbali, Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Claudia U. Kitta alihudhulia mafunzo haya yaliyofanyika katika kanisa la morovean lililopo Kyela kati hapa wilayani Kyela.
Ikiwa ni umaliziaji wa mwisho wa mafunzo katika hatua ya kwanza, mpango huu unategemewa kuwa na hatua tano za kufikisha habari kwa umma na kutketeza kabisa ukatili wa kijinsia katika wilaya ya Kyela.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa