Wednesday 2nd, April 2025
@NMB
Watumishi wa Benk ya NMB wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela.
Hii ni siku ya kuadhimisha mwezi wa utoaji wa huduma kwa wananchi, NMB Benk imetumia siku hii kuungana na watumishi wa Halmashauri ya Kyela, Na NMB imetumia mda huu ktangaza huduma zao zinazotolewa kwa njia ya Kimtandao. Ikiwemo upatikanaji wa Bank statement mtandaoni.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa