Wilaya ya Kyela tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kutupa kiasi cha shilingi 1,782,100,000/= kupitia utekelezaji wa Miradi ifutayo katika shule za Awali na Msingi:
Mradi wa BOOST, Sh. 1,266,100,000/= Ambapo tumejenga madarasa 38, vyoo 72.
Pia tulipokea Mil.180,000,000/= kutoka Serikali Kuu tumejenga, madarasa 9;
Mradi Ep4r Mil.68,000,000/= tumejenga madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo;
Mradi wa SWASH mil.92,000,000/= kwa ajili kujenga matundu ya vyoo 33
Vilevile tulipewa mradi wa TRC fedha mil. 176,000,000/= ambapo tujengea vituo 8 vya "TRC" vya walimu.
Hivyo, kufanya jumla kuu kuwa Tsh.1,782,100,000/=
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa