Haya yamezungumzwa na council HIV health coordinator katika kikao cha wadau wa UKIMWI kilichofanyika Kyela tarehe 29/06/2018.
Mratibu wa afya anaesimamia kupinga maambukizi ya HIV Kyela amezitaka asasi binafsi zinazopambana na ugonjwa wa UKIMWI kushirikiana na serikali katika kutekeleza kazi hii, kwani lengo la serikali nikuzitaka afya za Wananchi wake kuwa salama.
Aidha kwa kuunga mkono hoja hiyo wadau hao wametoka na maazimio yafuatayo,
Kuungana na serikali katika mapambano dhidi ya ukimwi, kupata na kutoa taarifa kwa wakati na za Kazi, kuwa na mfumo mpya wa upimaji wa VVU yaani matumizi ya (finger print).
Pia wadau hao waliliomba shirika la JSI kusaidia asasi hizi kufanya makongamano ya kupinga maambikizi mapya ya virusi vya UKIMWI.
mwisho waliazimia matumizi ya community base health service provider(CBHS).
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa