Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel Magehema(katikati mwenye suti nyeupe) amepokea makabati yaliyotolewa na shirika la PACT-Tanzania, wakishirikiana na mashirika ya John Snow Ine na shirika la IRDO, ambapo wamepanga kusambaza makabati hayo katika kata 31, ili yaweze kutumika katika kutunza nyaraka mbalimbali katika ofisi za kata.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa