• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA YAFANA WILAYANI KYELA

Imewekwa Kwenye: June 16th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imeadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika katika Kijiji cha Lema Kata ya Busale tarehe 16.6.2025.


Akizungumza katika maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Kyela ambae ni Mgeni Rasmi Mhe.Josephine Manase ameishukuru Serikali ngazi ya Wizara kuweka mpango wa Taifa wa kuhakikisha vitendo vya ukatili kwa Wanawake na Watoto vinatokomezwa katika jamii.


Mhe.Manase amesema lengo la maadhimisho haya ni kukumbushana wajibu na majukumu yenye kuleta maendeleo ya Watoto.


Aidha Mhe. Manase amewaasa Wazazi kuwa mfano wa kuigwa kwa Watoto wao katika matendo mbalimbali pia amewataka Wazazi hao  kuwa karibu na Watoto  ikiwemo kuwapatia haki zote za Msingi ili kujua  maendeleo yao pamoja na changamoto zinazowakabili.


Sambamba na hayo Mhe.Mkuu wa Wilaya amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha suala la Ukatili wa kijinsia linatokomezwa na kuchukuliwa hatua kali kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo.


Kauli mbiu Mtoto wa Afrika 2025 "Haki za Mtoto Tulikotoka Tulipo na Tuendako".

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA YAFANA WILAYANI KYELA

    June 16, 2025
  • VIVUTIO MBALIMBALI VINAVYOPATIKANA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA

    June 16, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA KYANGALA WALIA MACHOZI YA FURAHA BAADA YA KUPATA ZAHANATI MPYA KATIKA KIJIJI HICHO

    June 10, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. DKT. JUMA ZUBERI HOMERA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA WASICHANA KYELA COCOA GIRLS SECONDARY SCHOOL

    June 09, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa