• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Makamu Mwenyekiti Wa Mamlaka Ya Mji Mdogo Wa Kyela Apongeza Ushirikiano Baina Ya Viongozi Wataalam Wa Mamlaka

Imewekwa Kwenye: May 3rd, 2023

Makamu mwenyekiti wa Baraza la Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela Mheshimiwa Michael Mwakibinga, amewapongeza viongozi na wataalam wa Mamlaka hiyo kwa kuwa na upendo na ushirikiano unaopelekea Mamlaka ya Mji mdogo kusonga mbele katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Mamlaka hiyo, alipokuwa akiwasilisha taarifa yake ya utekelezaji wa kazi mbalimbali zilizofanywa na Baraza hilo, taarifa iliyotolewa katika kikao cha Baraza la Mamlaka ya mji mdogo wa Kyela, kilichofanyika   tarehe 02/05/2023 katika ukumbi wa mamlaka hiyo.

Pamoja na pongezi hizo Mhe. Mwakibinga amewashauri wajumbe wa baraza hilo, kuendelea kuudumisha ushirikiano huo, kwani matunda yameonekana.

" Tupeane taarifa mapema zinapojitokeza changamoto hasa taarifa za changamoto katika ukusanyaji wa mapato ili kuzitatua mapema." Amesema Mhe. Michael.

Aidha Makamu mwenyekiti amesema, kwa robo hii ya 3 Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kyela imeweza kutekeleza miradi ifuatayo;

Ukarabati wa stendi kuu ya Mabasi Kyela mjini, Ukarabati wa machinjio katika kata ya mikoroshini, Ujenzi wa makaravati, Ujenzi wa zahanati ya Ndandaro pamoja na ununuzi wa Mashine za kukusanyia mapato " POS", ambapo zaidi ya shilingi 101,000,000/= zimetumika.

Awali Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kyela ndugu Gerald Mlelwa amewakumbusha wajumbe wa baraza hilo, kuzisimamia sheria za utunzaji wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha tabia ya kuiachia mifugo kuzurula hovyo mtaani.

Kwani kwa kuiachia mifugo hiyo, imekuwa ni chanzo cha ajari na uchafuzi wa mazingira, Pia amewaomba viongozi hao kusaidiana katika kutoa na kuzuia upandaji wa mazao yanayozidi futi 3 urefu kwenda juu katika maeneo yote ya Mamlaka.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa