• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAMLAKA YA MJI MDOGO YAKUSANYA MILIONI 400 KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU

Imewekwa Kwenye: June 2nd, 2025

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela Mhe.Emmanuel Bongo ameongoza  mkutano wa  Baraza kwa kipindi cha robo ya tatu katika ukumbi wa Mamlaka tarehe 2.6.2025.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya,Bi. Sabrina Hamoud  amemshukuru Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Mamlaka kwa ushirikiano mzuri na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya katika masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo

Mhe.Bongo amesema kwa kipindi cha robo ya  tatu Mamlaka imefanikiwa kukusanya  jumla ya Tsh. Milioni 447,086,500.00 sawa na 75.11% ya makisio ya mwaka 2024/2025.

Aidha Mwenyekiti ameendelea kwa kusema  kipindi cha robo ya tatu Mamlaka  imefanikiwa kutoa Tsh. Millioni 44,708,650.00 sawa na 75.81% ya bajeti za 10% kwa ajili ya Wanawake,Vijana na watu wenye ulemavu.

Sambamba na hayo Mwenyekiti amesema katika kipindi cha robo ya tatu Mamlaka inatekeleza mradi wa jengo la kupumzikia abiria,pamoja na ujenzi wa zahanati ya Nkuyu.

Aidha Mhe.Mwenyekiti amempongeza Mtendaji Mkuu wa Mamlaka na Wataalamu wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kyela kwa jitihada kubwa ya ukusanyaji wa mapato na utendaji kazi katika idara zao.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA KYELA APOKEA BOTI YA DORIA KWA AJILI YA ZIWA NYASA

    August 23, 2025
  • MKUU WA WILAYA KYELA AONGOZA TATHMINI YA MICHEZO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA.

    August 16, 2025
  • DC MANASE AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHII

    August 13, 2025
  • DC MANASE ASISITIZA WANANCHI KUTUMIA NISHATI SAFI

    August 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa