• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAPATO YA NDANI YAIWEZESHA KYELA KUNUNUA MTAMBO WA KISASA WA KUTENGENEZEA BARABARA

Imewekwa Kwenye: June 22nd, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imenunua mtambo mpya wa kutengenezea barabara (scavator) kwa gharama ya Shilingi milioni 378 fedha za Mapato ya Ndani, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha miundombinu ya barabara hasa maeneo ya vijijini. Hatua hii imekuja baada ya juhudi madhubuti za usimamizi bora wa ukusanyaji wa mapato na matumizi yake chini ya uongozi thabiti wa viongozi wa Halmashauri hiyo.

Mtambo huo unatarajiwa kusaidia kwa kiwango kikubwa kazi ya ukarabati na uboreshaji wa barabara hasa kipindi cha mvua ambapo barabara nyingi huharibika na kuwa kikwazo kwa wananchi kufikia huduma muhimu kama shule, vituo vya afya na masoko ya kuuza mazao yao. Kupitia mtambo huo, barabara zitakuwa zinapitika wakati wote wa mwaka na hivyo kuchochea shughuli za kiuchumi vijijini.

Katika hatua nyingine, viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wamesema kuwa ununuzi wa mtambo huu ni mwanzo tu wa jitihada za muda mrefu za kuboresha miundombinu. Wameeleza kuwa tayari mipango imewekwa ya kununua mitambo mingine ikiwemo Grader na roller zitakazosaidia katika utengenezaji wa barabara kwa kiwango bora zaidi na kwa ufanisi mkubwa.

Viongozi hao pia wametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali kwa kulipa kodi na ushuru mbalimbali kwa hiari, wakisisitiza kuwa maendeleo haya yanatokana moja kwa moja na mapato yanayokusanywa kutoka kwao. Kwa ushirikiano huu, Kyela inaendelea kuwa mfano wa Halmashauri inayojitegemea na kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wake

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MANASE AWAHIMIZA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    July 15, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KYELA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUZIPATIA UFUMBUZI KERO MBALIMBALI ZINAZOWAKABILI WANANCHI

    July 14, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA ISANGA WAPATA FARAJA KWA KUUNGWA MKONO NA MHE. DC MANASE KWA UANZISHWAJI WA UJENZI WA ZAHANATI

    July 12, 2025
  • TSH. MILLIONI TANO (5) KUTOKA MFUKO WA ZAO LA KAKAO KUSAIDIA UANZISHWAJI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA MSINGI KIJIJI CHA MPEGERE KATA YA MAKWALE

    July 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa