• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mawakala Wa Vyama Vya Kisiasa Waapishwa Kyela Kwa Uchaguzi Wa 28th Octoba 2020

Imewekwa Kwenye: October 22nd, 2020

Baadhi ya mawakala wa vyama wakiapishwa mbele ya Afisa Uchaguzi wa jimbo la Kyela ndugu, Ezekiel Magehema jana tarehe 21octoba 2020. 

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kyela Ndugu Ezekiel Magehema jana  Jumatano tarehe 21/10/2020 amewaapisha mawakala wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Octoba 2020.

Akiwaapisha mawakala hao, Ndugu Ezekiel Magehema amewataka mawakala kutunza siri wakati wote wa zoezi  la uchaguzi na kufuata taratibu sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa kuwa  wao ndio wamebeba jukumu kubwa la kuhakikisha zoezi zima la uchaguzi linafanyika kwa utulivu  na amani.

Aidha amesema, kila wakala atambue kuwa kila mmoja anandugu kutoka katika vyama tofauti hivyo ni vyema kuitunza amani hii tuliyonayo "Kuna maisha kabla ya uchaguzi, katika uchaguzi na baada ya uchaguzi" alisema.

Mawakala walioapishwa jana ndio watakaoruhusiwa kuingia katika vyumba vya kupigia kura, ili kujihakikishia haki inavyotendeka katika zoezi zima la upigaji kura. ili kuwawezesha mawakala kuwa na uwelewa katika zoezi hili, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewapa vitabu vitakavyowasaidia kufahamu mambo, taratibu mbalimbali za kiuchaguzi.

Jimbo la Kyela linavyama vinne (4) vitakavyoshiriki katika uchaguzi Octoba 2020, katika nafasi ya  Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama hivyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), CHADEMA, CUF pamoja na NCCR mageuzi.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa