• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mheshimiwa Mbunge Wa Jimbo La Kyela Afanya Kikao Na Watumishi

Imewekwa Kwenye: December 15th, 2020

Mbunge wa  Kyela kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Ally Jumbe Mlaghila amefanya kikao kazi na watumishi (wakuu wa idara na vitengo) wa halmashuri ya wilaya ya Kyela tarehe 15/12/2020. lengo la kufanya kikao hicho ni kupata taarifa za utekelezaji wa majukumu kwa kila idara na vitengo.

Akizungumza na watumishi hao Mhe. Mbunge amesema, amelazimika kufanya kikao hicho kwa kuwa inampasa kufahamu shughuli zote zinazofanywa na Idara pamoja na vitengo vyote ili kuweza kujua wapi aanzie kutekeleza majukumu yake. Ikiwa ni pamoja na kuipeleka Kyela Mbele kwa maendeleo.

Aidha Mheshimiwa Mbunge amewataka wakuu wa Idara na vitengo kumtumia katika kipindi hiki wakati yupo madarakani. Amesema yeye, Mkurugenzi mtendaji wa wilaya pamoja na mwenyekiti wa halmashauri, wamejipanga kuiondoa Kyela mahali ilipo sasa na kuifanya kuwa ya tofauti kimaendeleo.

Ikiwa kama yeye ni msimamizi wa kutekeleza ilani na watalaam ndio watekelezaji wa ilani, amewasihi kufanya kazi wakijiamini kwani kwa kipindi hiki hakuna mfanyakazi atakaenyanyaswa na mtu yeyote.

Kwa upande wake mwenyekiti wa halmashauri ya Kyela Mhe. Katule Kingamkono, amewaasa watumishi kufanya kazi kwa amani ,ila wasijaribu kuomba au kupokea rushwa wala kutumia hovyo pesa za serikali, kwani kwa mtumishi atakaefanya hivyo hatavumiliwa. Pia aliwataka watumishi kupendana wao kwa wao katika kutekeleza majukumu yao.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Kyela ndugu Ezekiel H.Magehema,  aliwapongeza viongozi wote waliohudhuria katika kikao hicho na kuwaahidi kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Kyela na Tanzania kwa ujumla.

Mwisho wakuu wa Idara na vutengo walitoa taarifa zao kwa viongozi kusema hali halisi ya utendaji kazi katika Idara na vitengi vyao.



 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa