• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mheshimiwa Mbunge Jimbo La Kyela Amshukuru Meneja Wa RUWASA Kyela Kwa Ufuatiliaji Wa Mabomba Ya Miradi Ya Maji

Imewekwa Kwenye: June 13th, 2021


Mbunge wa jimbo la Kyela Mhe. Ally J. Mlaghila amemshukuru meneja wa RUWASA Kyela Eng.Tanu Deule kwa kupeleka wizara ya maji maombi ya kupewa mabomba ya miradi ya maji, na kufuatilia maombi hayo hadi kufanikiwa kuyapata, Shukrani hizo zimetolewa tarehe 12/06/2021, wakati wa upokezi wa mabomba hayo katika ofisi ya ujenzi halmashauri ya wilaya ya Kyela.

Akipokea mabomba hayo Mhe. Mbunge amesema, anamshukuru sana Meneja wa RUWASA Kyela Eng. Tanu Deule kwa kazi nzuri ya kuandika maombi katika  wizara ya maji ili kupewa mabomba, Na siku ya leo tunapokea mabomba zaidi ya 700, yenye vipimo tofauti tofauti, ambayo yatafanya kazi katika miradi ya maji Kilombero, mradi wa maji wa Makwale, mradi wa maji wa Ngamanga group ikiwa ni pamoja na vijiji vyake vilivyokuwa havipati maji. 

Aidha meneja wa RUWASA eng. Tanu Deule ametoa shukrani kwa viongozi wa wilaya akiwemo Mhe. Mbunge wa jimbo la Kyela, Katibu tawala wa wilaya ndugu Godfrey Kawacha, Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ndugu Ezekiel H. Magehema, Pamoja na maafisa wote waliohudhuria tukio hilo kutoka ofisi za RUWASA na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kyela, Herry Willium Afisa tarafa ya Unyakyusa. Pia meneja huyo ameahidi kuyapeleka mabomba hayo haraka katika maeneo ya miradi ili kuanza kazi maramoja na kuwafikishia wananchi huduma ya maji. 

Mwisho Mhe. Mbuge aliwaomba wananchi wa Kyela hasa wanaopitiwa na miradi hiyo, kujitokeze kwa wingi katika kazi za uchimbaji wa mitaro ya kupitishia mabomba hayo, na kuwaahidi kushirikiana nao katika zoezi zima la uchimbaji wa mitaro hiyo ili wananchi waweze kupata huduma ya maji kwa wakati. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa