• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. DKT. JUMA ZUBERI HOMERA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA WASICHANA KYELA COCOA GIRLS SECONDARY SCHOOL

Imewekwa Kwenye: June 9th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Juma Zuberi Homera amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kyela Cocoa Girls Secondary School tarehe 9.6.2025.

Katika ziara yake Mhe.Mkuu wa Mkoa Amefanya  zoezi la ugawaji wa vipima unyevu vya zao la kakao 40 ambavyo huakikisha kuwa kakao zimekauka ipasavyo kabla ya kuhifadhi au kuuza,vyenye thamani ya Tsh.262,200,000/=ugawaji wa  Mizani ya kidigitali 40 yenye thamani ya Tsh.116,000,000/=,kwa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS), kukagua Ujenzi wa visima 5 vya maji vinavyogharinu Tsh.300,000,000,Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ya mfano ya Elimu ya awali na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Mpanda.

Akizungumza na wafanyakazi wa KYECU LTD katika zoezi la ugawaji wa vipima unyevu Mhe.Homera amesema vifaa hivyo vitasaidia kudhibiti  mianya ya udanganyifu pia amewataka viongozi hao kusimamia vizuri vyama vya ushirika kwani  kupitia zao la kokoa Wilaya ya Kyela inakua kwa kasi kiuchumi.

Akikagua Mradi wa Maji Kijiji cha Mpunguti Kata ya Ikama Mhe.Juma Homera amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kuja na mpango wa kuchimba visima 900 Nchini ,kwani kati ya visima hivyo Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Kuna visima 5 ikiwemo kata ya Ikama Kijiji cha Mpunguti.

Mhe.Mkuu wa Mkoa  ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kwa ujumla kusimamia vyema fedha zinazoletwa na Serikali kwaajili ya  Miradi ya maendeleo iliyopo katika Halmashauri.

Awali Mhe Mkuu wa Wilaya amemshukuru Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka mpango mzuri wa zao la kokoa kwani kupitia tozo ya Tsh.20 imesaidia kujenga Shule itokanayo na zao hilo na kukarabati Miradi ya maendeleo katika Sekta mbalimbalii.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA KYELA APOKEA BOTI YA DORIA KWA AJILI YA ZIWA NYASA

    August 23, 2025
  • MKUU WA WILAYA KYELA AONGOZA TATHMINI YA MICHEZO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA.

    August 16, 2025
  • DC MANASE AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHII

    August 13, 2025
  • DC MANASE ASISITIZA WANANCHI KUTUMIA NISHATI SAFI

    August 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa