• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ninawashukuru GIZ Kwa kutuletea Vifaa Vya Mfumo Wa GoTHOMIS Vitakavyotumika Katika Kituo Cha Afya Ipinda-Ezekiel H Magehema

Imewekwa Kwenye: October 5th, 2021

Haya yamezungumzwa leo tarehe 05/10/2021 na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel H. Magehema alipokuwa akipokea vifaa vya mifumo ya hospitali, kutoa katika shirika la wakala wa Kijerumani  (GIZ).

Akipokea vifaa hivyo ambavyo ni tablet 4, komputa "desktop" 8, Data Cabinet 32u moja, Ups APC 1200VA nane, apc smart 2200VA UPS moja, komputa mpakato Vestro 300-400, sever 1, Ndugu Ezekiel Magehema amesema;

Vifaa hivi vitasaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya, katika kituo cha Afya ipinda kwani vifaa hivyo ni msaada mkubwa katika kituo chetu cha afya. Pia aliwaomba viongozi hao kuzidi kuisemea halmashauri ya wilaya ya Kyela, katika shirika la GIZ hasa pale wanapopata nafasi, kwani halmashauri ya wilaya ya Kyela ilituma maombi ya vifaa vya mifumo, vitakavyotegemewa kufungwa katika jengo jipya linalojengwa katika hospitali ya wilaya. 

GIZ ni shirika la wakala wa Kijerumani wa ushirikiano wa kimataifa una ofisi ndani ya Ujerumani na katika mataifa mengi duniani, likiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 50 ya utuoaji huduma katika nyanja kadhaa, ikiwa ni pamoja na maendeleo ya kiuchumi na ajira, nishati na mazingira, na amani na usalama. Dira yake ni: "Tunafanya kazi kuunda mustakabali wa maiasha bora".

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa