• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Sherehe Za Maazimisho Ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Mbeya Zafanyika Wilayani Kyela

Imewekwa Kwenye: February 5th, 2021

Maazimisho ya sherehe za kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Mbeya yamefanyika katika wilaya ya Kyela tarehe 4/02/2021, maazimisho haya yamefanyika katika viwanja vya Kapunga vilivyopo katika kata ya Njisi  wilayani Kyela huku yakihudhuriwa na viongozi wakubwa wa serikali na chama.

Katika maazimisho hayo, viongozi walianza kwa kutembelea miradi ya maendeleo ikiwemo miradi ya ujenzi wa shule mpya za sekondari zinajengwa katika Kata ya Busale na Kata ya Njisi, ujenzi wa hodi ya wazazi katika hospitari ya wilala na ujenzi wa kituo cha pamoja cha usafirishaji kinachojengwa katika kata ya Nijsi.

Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo  mgeni rasmi wa sherehe hizo mheshimiwa Phillip Mangula amesema; 

Angependa wanafunzi wapate chakula shuleni pia wanaKyela wqjenge hosteri katika shule mbalimbali ili kuwasaidia watoto wanaotoka mbali, sababu wanafunzi wakikaa hosteri wanakuwa na uwezo wa kusoma kwa pamoja, wanafanya mazoezi na akili zao zinachangamka kwa haraka sana.

Aidha mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. albert Chalamila amsema, 

Mkoa wa Mbeya tulikuwa tunadaiwa madarasa 142, ili kukamilisha upungufu wa madarasa mkoani kwetu ila hadi sasa tumejenga madarasa 105, Pia alisema wilaya ya Kyela haijafanya vizuri katika swala zima la elimu, kwa matokeo ya sasa na hii imesababishwa na wazazi wa Kyela kutokukubali kupeleka huduma ya chakula shuleni ili watoto wao wapate chakula wakiwa shule, alisema wanakyela tambueni kuwa chakula kwa watoto wa shule si  mchango bali ni huduma kwa mototo wako.

Katika swala la barabara amesema bajeti ya ujenzi wa barabara ya Kyela ipo na si mda barabara hiyo itaanza kujengwa hivyo, mhe. Mbunge aondoe hofu ya barabara.

Mwisho Mhe.Mbunge wa Kyela  Ally J. Kinanase alisema tusipoitetea  wilaya yetu ya Kyela hakuna atakaekuja kututetea na hatutakuwa na maendeleo kamwe, Pia alimesema Tanzania tumepata bahati ya kupata kiongozi imara ambae ameweza kuiambia dunia kuwa, Tanzania inaongozwa na Mungu. Hivyo tuzidi kumuombea afya njema Rais wetu,  Nasi kama wasaidizi wake tumeanza kuhakikisha Kyela inapata maji na anaamini kuwa mwakani serikali itatenga kwa ajiri ya kutoa maji ziwa Nyasa.

Wananchi watambue kuwa tarehe 20/02/2021 mradi mkubwa wa maji unaanza kutekelezwa ili kuweza kupata maji ya uhakika hapa wilayani Kyela, Barabara kutokwa katumba songwe hadi ileje inaenda kutengewa bajeti mwaka huu, na alitoa pongezi kwa kampuni ya BIOLAND na KIM’S chocolate kwa kuisaida wilaya yetu katika ujenzi na ukarabati wa shule zetu.

Imetolewa na;

Ofisi ya Habari na Mawasiliano

Kyela.




Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa