• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tuachane Na Tofauti Zetu Zilizojitokeza,ili Tupate Maendeleo-Dr.Hunter Mwakifuna

Imewekwa Kwenye: July 4th, 2019

Haya yamezungumzwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Dr. Hunter Mwakifuna, alipokuwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa kikao cha baraza maalum la waheshimiwa Madiwani, kilichifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela jana tarehe 03/07/2019.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela, amelazimika kuitisha baraza maalumu la Madiwani , ili kuongea na Madiwani wote pamoja na wataalamu, kuhusiana na kurudisha hali ya utulivu katika Halmashauri yetu.

Aidha amesema, Halmashauri yetu haikuwa na utulivu kwa muda kidogo, kwa sababu za kutoelewana baina ya viongozi, ila hadi kufikia sasa hali hiyo imekwisha na hivyo, wataalam wa Halmashauri pamoja na waheshimiwa Madiwani ni muda wa kuondoa tofauti zao, ili kuleta maendeleo ya wilaya yetu. 

Hata hivyo amesema, serikali ya awamu ya tano ina upendo mkubwa na wilaya yetu, na ndio maana tunaona ujenzi wa miundo mbinu unaendelea kila mahala. Na serikali yetu imeahidi Kujenga barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ikulu ndogo ya  wilaya hadi njia panda ya kapwili. 

Wilaya ya Kyela ilikuwa katika mgogoro kwa kipindi kifupi, mgogoro uliokuwa ukihusiana na maswala ya kiutendaji baina ya viongozi. 

Mgogoro huo umeisha kwa sasa, hivyo watumishi pamoja na waheshimiwa Madiwani, wamehimizwa kuungana na kuondoa makundi yote ili kuleta maendeleo ya wilaya ya Kyela. 

Imetolewa na:

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji 

Habari na Mawasiliano 

Kyela. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa