Wanafunzi wa shule ya sekondari Kafundo, iliyopo Kata ya Ipinda wilayani Kyela, wamefanya mahafali katika shule yao tarehe 11/10/2019.
Akiongea na wanafunzi hao Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Hunter Mwakifuna, amewataka wanafunzi hao, kwenda kuwasaidia kazi wazazi wao pia wakajitunze.
Aidha amewataka kujiandaa vema na mitihani iliyopo mbele yao, kwani wakitumia vuzuri muda huu, wanauwezo wa kufanya maajabu makubwa katika mitihani yao.
Shule ya sekondari Kafundo imekuwa ikifanya vizuri sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa miaka mingi tangu imeanzishwa.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa