Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya sekondari Ikama ambapo shilingi milioni sitini(60,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta.
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Nyasa lakeshore ambapo shilingi milioni themanini (80,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta tayari kwa maandalizi ya kupiga kenchi
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Mwaya ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta tayari kwa maandalizi ya kupiga kenchi
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Makwale ambapo shilingi milioni themanini(80,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta kwa madarsa mawili na madarasa mengine mawili yapo hatua ya kupiga boksi na kumwaga zege la renta
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Kafundo. Ambapo shilingi milioni 20,000/= zinatumika ujenzi upo hatua ya renta.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa