Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Mwaya ambapo shilingi milioni arobaini(40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta.
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Ndobo ambapo shilingi milioni arobaini(40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta.
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Makwale ambapo shilingi milioni themanini(80,000,000/=) zinatumika Ujenzi unaendelea
Ujenzi wa vyumba 5 vya madarasa katika shule ya sekondari Busale ambapo shilingi milioni mia(100,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta tayari kwa maandalizi ya kupiga kenchi
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Itope ambapo shilingi milioni arobaini(40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta.
Ujenzi wa chumba 1 cha darasa katika shule ya sekondari Kajunjumele ambapo shilingi milioni ishirini(20,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya renta tayari kwa maandalizi ya kenchi
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa