Ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa katika shule ya sekondari Kyela Day ambapo shilingi milioni mia mbili (200,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga kenchi kwa madarasa zaidi ya manne tayari kwa maandalizi ya kupiga bati
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya sekondari Nkuyu ambapo shilingi milioni ishirini(60,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kenchi kwa tayari kwa maandalizi ya kupiga bati
Ujenzi wa chumba 2 vya mdarasa katika shule ya sekondari Ngonga ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga kenchi wakati huohuo upigaji wa lipu unaendelea katika vyumba
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa