Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Mwaya ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga bati, kuweka madirisha na kupiga lipu ndani na nje kwa maandalizi ya hatua ya ukamilishaji
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Itope ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga bati lipu ndani na nje pia kuweka flemu za mirango na madirisha
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Makwale ambapo shilingi milioni themanini(80,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga kenchi kwa madarsa mawili na madarasa mengine mawili yapo katika maandalizi ya kupiga kenchi
Ujenzi wa vyumba 5 vya madarasa katika shule ya sekondari Ipinda ambapo shilingi milioni mia(100,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupauwa madarasa manne.
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Nyasa lakeshore ambapo shilingi milioni themanini(80,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupauwa
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya sekondari Ikama ambapo shilingi milioni sitini(60,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupauwa tayari kwa maandalizi ya kupiga bati
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Ndobo ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga bati
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Ngonga ambapo shilingi milioni arobaini (40,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga bati na kupiga lipu ndani na nje
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Kafundo ambapo shilingi milioni ishirini (20,000,000/=) zinatumika Ujenzi upo hatua ya kupiga kenchi kwa maandalizi ya kupiga bati
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa