Imewekwa Kwenye: May 28th, 2018
Shirika lisilo la kiserikali CRS consenuth kwa kushirikiana na Halmashauri ya wilaya ya Kyela, limefanya kongamano yarehe 28/05/2018, katika kata ya Muungano kijiji cha Bukinga wilayani Kyela.
...
Imewekwa Kwenye: May 24th, 2018
Askari wa kikosi cha FFU, cha Mkoa wa Mbeya wakishangilia makabidhiano ya Mwenge wetu wa Uhuru katika Mkoa wa Iringa Jana tarehe 23/05/2018(picha na Fredy P. Kabutu)
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiukabid...
Imewekwa Kwenye: May 7th, 2018
Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, imeanza kutoa mafunzo ya bima ya afya (CHF) iliyoboreshwa Kwa mda wa siku tatu kwa wafanyakazi wa Afya zaidi ya 130.
Wafanyakazi hao ni pamoja na Wa...