Imewekwa Kwenye: February 23rd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kyela, Mheshimiwa Josephine Keenja Manase amefanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Njisi kilichopo kata ya Njisi hapa wilayani tarehe 23/02/2023.
Katika...
Imewekwa Kwenye: February 21st, 2023
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Juma Zuberi Homera, amegawa pikipiki 368 kwa niaba ya Mkoa wa Mbeya, ikiwa pikipiki 331 kwa maafisa Ugani na pikipiki 37 kwa watendaji wa kata, zoezi lililofanyika...
Imewekwa Kwenye: February 15th, 2023
Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya wilaya Kyela wametoa shukrani zao za dhati, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuiwezesha Hospitali ya wilaya ya Kyel...