Imewekwa Kwenye: March 11th, 2020
Shirika la Starkey Hearing Foundation la Marekani kwa kushirikiana na chama cha Tanzania Society for the Deaf(TSD) wametoa huduma ya afya kwa kuwachunguza wanafunzi 8 kati ya 30, ambao ni viziwi. ...
Imewekwa Kwenye: March 8th, 2020
Halmashauri ya wilaya ya Kyela imefanya maazimisho ya siku ya wanawake Duniani siku ya tarehe 7/3/2020, maazimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Mafrasop vilivyopo katika kata ya Nkuyu hapa ...
Imewekwa Kwenye: March 6th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Hunter Mwakifuna, amewataka wananchi wa Kyela kuachana na mila potofu zinazowapelekea kujiingiza katika maswala ya ukatili wa kijinsia.
A...