Imewekwa Kwenye: February 17th, 2022
Kamati ya siasa ya Mkoa ikiwa inamsikiliza eng.Mohamed A.Muanda kutoka TARURA, ambae ni mtaalam wa ujenzi wa barabara.
Kamati ya siasa ya mkoa wa Mbeya imefanya ziara ya kutembelea na kukagua mirad...
Imewekwa Kwenye: February 6th, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mheshimiwa Katule G. Kingamkono akikabidhi msaada wa sare za shule na viatu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Nduka.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Nduka, ...
Imewekwa Kwenye: February 6th, 2022
Boma la jengo la zahanati katika kijiji cha Masoko kata ya Busale, ikiwa zaidi ya shilingi milioni 18 zimechangwa na wananchi hadi kufikia ngazi linta.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela ...