Imewekwa Kwenye: February 22nd, 2025
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Bi.Lydia Herberty amezindua mashindano ya UMISSETA ngazi ya Wilaya katika Uwanja wa Kipija Arena tarehe 22.02.2024.
Akizindua mashindano ...
Imewekwa Kwenye: February 20th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mhe.Josephine Manase amezindua zoezi la ugawaji miche 11,081 ya kokoa kwa Wakulima 125 wa kata mbalimbali ndani ya Wilaya ya Kyela katika ofisi za Idara ya Kilimo za Halmashaur...
Imewekwa Kwenye: February 15th, 2025
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Ndg. Keneth Nzilano amefungua mashindano ya UMITASHUMTA kwa ngazi ya Wilaya yaliofanyika katika viwanja vya Kipija Alena tarehe15.2.2025....