Imewekwa Kwenye: June 3rd, 2022
Akifungua mafunzo kwa wanavikundi 15 leo tarehe 03/05/2022, Mheshimiwa Katule Kingamkono Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela, amesema,
Anapenda kutoa pongezi kwa Mhe. Rais kwa kuweka s...
Imewekwa Kwenye: May 18th, 2022
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu Na Bunge) Mhe. Dkt. John Jingu, ametembelea na kukagua zoezi la uandikaji wa anwani za makazi katika halmashauri ya wilaya ya Kyela tarehe 17/05/2022.
...
Imewekwa Kwenye: May 18th, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Katule G. kingamkono ametoa makopo 16 ya rangi ya njano na nyeusi, ili kuhamasisha zoezi la uandikaji wa namba za anwani za makazi katika makazi ya wa...