Imewekwa Kwenye: August 23rd, 2021
Hakika Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ni kiongozi wa mfano wa kuigwa. Haya yamejidhihirisha wazi pale Mheshimiwa Mwenyekiti Katule Kingamkono alipotembelea maegesho ya magari ya mizigo y...
Imewekwa Kwenye: August 10th, 2021
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel Magehema amewapokea na kuwapa semina elekezi watumishi wapya 54, wa Idara ya Msingi, Idara ya Sekondari na Idara ya Afya. Maf...
Imewekwa Kwenye: August 6th, 2021
Idara ya Afya Kyela ikiongozwa na Mganga Mkuu ndugu Mariam Ngwere wameamua kuwakabidhi mifuko ya sukari kwa watumishi 22 wapya wa afya, ikiwa ni sehemu ya kuwaonyesha watumishi hao kuwa, hal...