Imewekwa Kwenye: September 4th, 2018
Haya yamezungumzwa leo tarehe 04/08/2018 na Mhe. Claudia U. Kitta, alipokuwa akizungumza wakati wa kukabidhi mbegu za miti na viriba vya kupandia miti katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela.
...
Imewekwa Kwenye: August 23rd, 2018
Waheshimiwa Madiwani wa wilaya ya Kyela wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo kwa muda wa siku tatu, kwa mwezi huu wa nane.
Ziara hizo zimefanyika kwa kupitia kamati za kud...
Imewekwa Kwenye: August 13th, 2018
Siku ya vijana huadhimishwa kila tarehe 12/08 kila mwaka, ikiwa na lengo la kuwakutanisha vijana ili kuweza kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maslahi yao.
Hapa Wilayani Kyela maadhimisho hay...