Imewekwa Kwenye: March 8th, 2023
Maadhimisho ya siku ya mwanamke yamefanyika tarehe 07/03/2023, katika kata ya Busale kijiji cha Lema hapa wilayani Kyela.
Maadhimisho hayo yameambatana na maonyesho ya kazi mbalimbali kutoka ka...
Imewekwa Kwenye: March 3rd, 2023
MKUU wa wilaya Kyela, mkoani Mbeya, Josephine Manase, amesema ameridhishwa na usimamizi wa madiwani, katika miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa kwa kasi wilayani hapa.
Amesema ma...
Imewekwa Kwenye: March 2nd, 2023
Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya Kyela mkoani Mbeya, limempongeza na kumshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa kuboresha huduma za afya katika hospitali ya wilaya na hivyo...