Imewekwa Kwenye: May 18th, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Katule G. kingamkono ametoa makopo 16 ya rangi ya njano na nyeusi, ili kuhamasisha zoezi la uandikaji wa namba za anwani za makazi katika makazi ya wa...
Imewekwa Kwenye: May 16th, 2022
Wahesmiwa madiwani wa halmashauri ya wilaya Kyela, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuwapelekea fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo inafanya wilaya hiyo i...
Imewekwa Kwenye: May 12th, 2022
Mkuu wa mkoa wa mbeya Mhe. Juma Homera akizungumza na wananchi wa kata ya Katumbasongwe wakati wa kukabidhi misaada kwa wahanga wa mafuriko Kyela.
Wananchi wa kata ya katumbasongwe wakiwa wanam...