Imewekwa Kwenye: February 1st, 2023
Uongozi wa Kata ya Mwanganyanga wilayani Kyela, umekabidhi choo cha kisasa kwa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela, leo tarehe 01/02/2023, kilichokuwa kinakarabatiwa katika eneo la soko la wakulima lililopo...
Imewekwa Kwenye: December 28th, 2022
Umoja wa wanaKyela waishio ndani na nje ya Nchi ya Tanzania, wamekabidhi vifaa tiba katika Kituo cha afya Ipinda "Mama delivery Kit", baiskeli 1ya mlemavu, Madawati 30 kwa kata ya Ipinda, kadi za ...
Imewekwa Kwenye: December 28th, 2022
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa barabara ya Ibanda-Kajunjumele,Kajunjumele-bandari ya Kiwira na Kajunjumele-bandari ya Itungi, wilayani Kyela, zenye urefu w...