Imewekwa Kwenye: June 27th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani Kyela, tarehe 26/06/2024.
Akiwa katika ziara yake, Mhe. Mkuu wa wilaya amemsisitiza mkandara...
Imewekwa Kwenye: June 25th, 2024
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya "MBEYA GIRLS" iliyojengwa katika kata ya Busale wilaya ya Kyela, ipo tayari kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi Kimkoa na Kitaifa kwa ujumla wake.
Shule hi...
Imewekwa Kwenye: June 21st, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase, ameongoza mkutano wa wadau kujadili utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa usalama wa milki za ardhi tarehe 20/6/2024, katika ukumbi wa Songwe view re...