Imewekwa Kwenye: July 24th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine K. Manase akifanya usafi katika eneo ambalo shule mpya ya wasichana ya Mkoa inajengwa, kata ya Busale, ikiwa ni maazimisho ya siku ya mashujaa kiwilaya.
...
Imewekwa Kwenye: July 14th, 2023
Mbunge wa jimbo la Kyela Mhe. Ally Mlaghila Jumbe akiongozana na Mkuu wa wilaya Mhe. Josephine Manase, wamepokea mabomba ya utekelezaji mradi wa maji wa Ngana.
Mabomba yamepokelewa tarehe...
Imewekwa Kwenye: July 12th, 2023
Afisa elimu mkoa wa Mbeya ndugu Ernest Hinju, amefanya kikao kazi tarehe 11/07/2023, katika viwanja vya shule ya msingi Nkuyu hapa wilayani Kyela.
Kikao kimeshirikisha Viongozi na wali...