Imewekwa Kwenye: July 29th, 2025
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Kata ya Katumbasongwe, tarehe 29 Julai 2025.
Katika ziara hiy...
Imewekwa Kwenye: July 28th, 2025
Kamati ya Elimu na Afya imekagua Miradi ya maendeleo tarehe 28/07/2025,Miradi iliyokaguliwa na Wataalamu hao ni Zahanati ya Nkuyu,Zahanati ya Ngana, Nyumba Moja Kwa mbili(Two in One) ya Walimu katika ...
Imewekwa Kwenye: July 22nd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mhe Josephine Manase amekagua miradi ya maendeleo Kijiji cha Ndwanga na Kijiji cha Katumba katika Kata ya Katumba Songwe tarehe 22.7.2025.
Miradi iliyokaguliwa ni Nyumba ya ...