Imewekwa Kwenye: July 5th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Kyela imetoa mafunzo ya awali kwa wafanyakazi 15 wapya wa idara ya Afya Kyela siku ya tarehe 4 july 2018.
Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Kyela ndugu Wilson Bro...
Imewekwa Kwenye: July 2nd, 2018
Haya yamezungumzwa na council HIV health coordinator katika kikao cha wadau wa UKIMWI kilichofanyika Kyela tarehe 29/06/2018.
Mratibu wa afya anaesimamia kupinga maambukizi ya HIV Kyela amezitaka a...
Imewekwa Kwenye: June 8th, 2018
Haya yamezungumzwa na mratibu wa mradi wa usimamizi endelevu wa ardhi ya bonde la ziwa Nyasa ndugu. Aswile Fumbo katika kikao kilichofanyika jana tarehe 7/06/2018.
Kikao hicho kilihudhuliwa na wata...