Imewekwa Kwenye: June 5th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kyela yatoa elimu juu ya umuhimu wa Baba na Mama kwenda kliniki pamoja, elimu hii imetolewa tarehe 4/06/218 katika viwanja vya Godauni Ipinda.
Akizungumza na Wananchi...
Imewekwa Kwenye: May 29th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Kyela inatarajia kutoa ajira za mda mfupi kwa kaya maskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF).
Haya yamezungumzwa na Afisa ufuatiliaji na usimamizi wa mp...
Imewekwa Kwenye: May 28th, 2018
Shirika lisilo la kiserikali CRS consenuth kwa kushirikiana na Halmashauri ya wilaya ya Kyela, limefanya kongamano yarehe 28/05/2018, katika kata ya Muungano kijiji cha Bukinga wilayani Kyela.
...