Imewekwa Kwenye: February 2nd, 2023
HALMASHAURI ya wilaya Kyela, imezalisha miche bora 33,708 ya zao la Mchikichi, ambayo itagawiwa bure kwa wananchi ili kuwainua kiuchumi, ambayo itapandwa katika ekari 674.4, sawa na miche 50 kwa kila ...
Imewekwa Kwenye: February 3rd, 2023
Haya yamezungumzwa leo tarehe 03/02/2023 na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Juma Zuberi Homera, alipokuwa akifanya uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti, zoezi lililofanyika katika viwanja vya shule M...
Imewekwa Kwenye: February 1st, 2023
Uongozi wa Kata ya Mwanganyanga wilayani Kyela, umekabidhi choo cha kisasa kwa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela, leo tarehe 01/02/2023, kilichokuwa kinakarabatiwa katika eneo la soko la wakulima lililopo...