Imewekwa Kwenye: June 28th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase (mbele) akiongoza msafara kuelekea eneo ambapo shule ya wasichana ya Mkoa itajengwa.
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase leo juni 28, 202...
Imewekwa Kwenye: June 13th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani hapa kutoa elimu kwa madiwani kuhusiana na mfumo mpya wa ukusanyaji mapato (Tausi) ili kudhibiti upotevu wa mapato wa halmasha...
Imewekwa Kwenye: June 6th, 2023
Maadhimisho ya siku ya mazingira yafanyika wilayani Kyela tarehe 05/06/2923 kwa upandaji wa miti katika shule ya msingi Sama.
Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na viongozi wa NEMC kanda za juu kus...