Imewekwa Kwenye: December 29th, 2020
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Katule G. Kingamkono amefanya ziara katika shule za Sekondari Kyela na Makwale, kwa lengo la kukagua na kujua changamoto za ujenzi wa madarasa, ziara ...
Imewekwa Kwenye: December 17th, 2020
Haya yamezungumzwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mhe.Claudia U.kitta alipokuwa akiongea na vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, katika hafla fupi ya kukabidhi mfano wa hundi ya mikopo ...
Imewekwa Kwenye: December 15th, 2020
Mbunge wa Kyela kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Ally Jumbe Mlaghila amefanya kikao kazi na watumishi (wakuu wa idara na vitengo) wa halmashuri ya wilaya ya Kyela tarehe 15/12/20...